Nimefanikiwa Kumbadilisha Mume Wangu Kuweza Kuachana na Vitu vya Ujana -Shamsa Ford

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimefanikiwa Kumbadilisha Mume Wangu Kuweza Kuachana na Vitu vya Ujana -Shamsa Ford
Mwanadada kutoka kiwanda cha Bongo movies, Shamsa Ford ambaye ameolewa na mfanyabiashara Chidi Mapenzi amesema kuwa hajamfilisi mume wake bali amebadilisha maisha yake.


Shamsa amesema hayo kupitia eNewz ya EATV kuwa mume wake hajafulia kama watu wanavyosema bali amemsaidia kupunguza maisha ya ujana aliyokuwa nayo awali.

“Mimi huwa napenda kuishi maisha halisi huwa sipendi shobo na nilifanikiwa kumbadilisha mume wangu kwa kumshauri kuachana na baadhi ya vitu vya ujana na sasa hivi anafanya vitu kama mume wa mtu na mwenye majukumu wala hajafulia ila kapunguza matumizi yasiyo ya lazima amekuwa mtu mzima”. Amesema Shamsa

Shamsa ameongeza kuwa wanaosema amefulia wanakosea maana wao wameamua kuishi maisha yao ambayo watu hawawezi kuwaelewa,msikilize hapo chini amefunguka zaidi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad