Tuache Kufananisha Nyumba na vitu vya Maana Kama Bia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kila ukinywa bia *1* umekunywa tofali *2* za kujengea. Bia 1 kwa bei ya kawaida ni *Tsh.2500/=* na tofali *1* la inch *6* kwa maeneo mengi ya nchi ni bei isiyozidi *Tsh.1300/=.*

Kama unakunywa wastani wa bia *5* kwa siku (kipimo cha kawaida) it means unakunywa bia *1,825* kwa mwaka sawa na tofali *3,650.

Tofali *3,650* zinatosha kujenga nyumba *1* ya room *3* self contained ya kisasa

Hii inamaanisha kuwa kama wewe ni mnywaji basi kila mwaka unakunywa angalau nyumba *1 au 2.

Sasa hebu jiulize tangu umeanza bia hadi leo umeshakunywa nyumba ngapi?

Anyway.._
Tuache kufananisha nyumba na vitu vya maana kama Bia

*Muhudumu ongeza bia*
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad