Kimenuka..Vyuo Ishirini Vyafutiwa Usajili..List ipo Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) limefuta usajili wa vyuo 20 kwa sababu mbalimbali ikiwemo kushindwa kufuata utaratibu wa usajili wa vyuo vya ufundi na upungufu wa rasilimali za kufundishia.
-
Pia, jumla ya vyuo 9 vimesitishiwa kudahili wanafunzi wapya kuanzia mwaka wa masomo 2018/2019 kwa kuzingatia kifungu cha 22(1) cha usajili wa vyuo vya ufundi
-
Aidha, NACTE imetoa agizo kwamba kabla ya kuanza kuendesha mafunzo ya kozi yoyete chuo kinatakiwa kihakikishe kuwa mtaala wa mafunzo hayo umepitishwa na Baraza na idara itakayosimamia mafunzo hayo
-
Kaimu Katibu Mtendaji wa NACTE, Dkt. Adolf Rutayuga amesema "Kuna vyuo ambavyo mapungufu yake yalikuwa ni makubwa kiasi kwamba tumevisitishia kutoa mafunzo na vyenyewe hivi ni vyuo 20, lakini kuna vyuo vingine ambavyo tumekuta vinaendesha Program ambazo hazina idhini ya Baraza"
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad