Makonda Awachongea Wakazi wa Dar kwa Makamu wa Rais " Wakazi wa Dar ni Wachafu na Wanatia Aibu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Makonda Awachongea Wakazi wa Dar kwa Makamu wa Rais " Wakazi wa Dar ni Wachafu na Wanatia Aibu"
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemwambia Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu kuwa wakazi wa Mkoa huo ni wachafu na wanatia aibu.



Makonda ameyasema hayo katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo kitaifa yamefanyika jijini Dar es Salaam kwenye Viwanja vya Mnazi mmoja, ambapo amesema kuwa usafi ni tatizo kubwa katika mkoa huo.

“Usafi ni moja ya tatizo kubwa katika Mkoa wa Dar es Salaam, na kwa kweli tunavyoonekana ni wastarabu na baadhi ya Mikoa mingi wanatamani kuwaona wajanja wa Dar es Salaam, lakini ukweli usiofichika Mh. Makamu wa Rais Dar es Salaam ni wachafu na wanatia aibu,” alisema RC Makonda.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad