Mbolea ya Mkojo wa Binadamu Yazinduliwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkufunzi mmoja kutoka chuo kikuu cha Afrika Kusini, anayejulikana kama Dkt.Dyllon Randall amevumbua mbolea inayozalishwa kutokana na mkojo wa binadamu.

Dkt. Randall  akizungumza kwenye mkutano na taasisi ya maji ya Afrika Kusini  (WISA) amesema kuwa wanachukua kinyesi na mkojo wa binadamu na kuchanganya na maji machafu na kuzalisha mbolea inyojulikana kwa jina ‘new liquid gold- think fertiliser’.

"Mkojo peke yake ni asilimia 1, maji machafu  ni  asilimia 80 (nitrogen), asilimia 70 ni (potassium) na asilimia 50 (phosphorus) hivi ndivyo virutubisho kwa ajili ya kutengeneza mbolea kutoka kwenye mkojo”,  amesema Randall.

Aidha Dkt.  Randall ameongeza kuwa sayansi hiyo italisaidia taifa hilo kutokana na  hali ya ukame  iliyopo,  hivyo  serikali itatumia gharama ndogo kuagiza mbolea ya nje.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad