Msaidizi wa Trump Afunguka Hali Ilivyo Hali Ilivyo Katika Ikulu ya White House

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msaidizi wa Trump  Afunguka Hali Ilivyo Hali Ilivyo Katika Ikulu ya White House
John Kelly ambaye ni msaidizi wa karibu wa rais Donald Trump ameripotiwa kusema kwamba ikulu ya White House ni mahali duni pa kufanyia kazi akitaja mizozo ya kila mara kwenye ikulu hiyo na uvujaji wa siri kama baadhi ya changamoto ambazo ameshindwa kutatua.

Matamshi ya Kelly ambayo yalichapishwa na jarida la New York Times hapo jana ni mojawapo ya visa vya uvujaji kutoka ikulu ya White House ambavyo vinaashiria kudodora kwa mazingira ya kazi katika ikulu hiyo chini ya utawala wa Trump. “Wengi wanaofanya kazi White House wanaonyesha dalili ya kutaka kujiuzulu au kutokuwa na haja,” jarida hilo lilisema.

Kelly ambaye alistaafu kama jenerali katika jeshi aliteuliwa na Trump kuwa mkuu wa utumishi wa umma mwaka jana.

Wakati wa kuteuliwa kwake Kelly alikwa na ushawishi mkubwa kwa Trump kabla ya ushawishi huo kuisha. Mapema huu mwaka Kelly aliripotiwa kuonyesha kukerwa na hali ya kazi na kutishia kujiuzulu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad