Tour ya Diamond ‘A Boy From Tandale’ Nchini Marekani na Utofauti Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tour ya Diamond ‘A Boy From Tandale’ Nchini Marekani na Utofauti Wake
Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz bado yupo nchini Marekani kwa ajili kumalizia tour ya albamu yake ‘A Boy From Tandale.

Ni mara kadhaa kumekuwepo na stori kuwa wasanii wengi wa Afrika wanapofanya show katika nchi hiyo wengi wanaojitokeza ni wale kutoka Afrika (Africa Community).

Lakini kwa sasa hali inaelezwa kubadilika kidogo ukilinganisha na hapo awali.

Meneja kutokea WCB, Babu Tale ambaye ameongozana na Diamond katika tour hiyo, akipiga stori na JJ wa Jembe FM amesema kuwa show za Diamond zimekuwa ni za watu wote na si wale kutokea Afrika pekee.

“Ukiangalia clip ambayo ameposti Diamond utaona watu weupe kibao, nimeona wazungu kibao, Jamaica walikuwepo,” amesema.

March 13, 2018 ndipo Diamond alizindua albamu hiyo, uzinduzi uliofanyika Nairobi nchini Kenya ambapo star wa muziki kutoka Marekani, Omarion alihudhuria. Hata hivyo hadi sasa tour ya albamu hiyo haijafanyika Tanzania.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Top Post Ad