Belle 9 Ampa Onyo Kali Dogo Janja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Belle 9 Ampa Onyo Kali Dogo Janja
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Abubakar Chande maarufu kama 'Dogo Janja' ameonywa na mwanamuziki mwenzake Belle 9, kwamba awe makini na Jiji la Dar es Salaam kwa madai lina watu wa kila aina ili asije kuharibiwa tabia yake ambayo yeye binafsi ameshindwa kuielewa kwa haraka.

Belle 9 ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha eNewz inayorushwa na tinga namba moja kwa vijana baada ya Dogo Janja kudai Belle anapaswa kupigwa viboko 70 kwa kile alichokidai kudharau wakubwa zake akiwa anamlenga Baba yake mlezi Madee Ali.

"Tuna tofautiana katika kufikiri baina yangu na Dogo Janja unajua zama za viboko zimeshapitwa na wakati, halafu unajua kabla hajaachia huu wimbo wake mpya nilikuwa nasikiliza ule wa zamani ambao alijifanya kama dada hivi lakini pia sasa hivi ameachia ngoma mpya anasema 'your my banana",amesema Belle 9.

Pamoja na hayo, Belle ameendelea kwa kusema "hakuna mtu asiyejua maana ya 'banana' hii imekaa kiutata kabisa, sasa hapo viboko labda yenye mwenyewe ndio anapaswa apigwe kwasababu nashindwa kumuelewa. Madee amchunge mtoto wake mjini hapa maana kuna watu wa aina tofauti".
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad