Club ya Chelsea imemfuta kazi Kocha Wake Mkuu Antonio Conte

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Club ya Chelsea imemfuta kazi Kocha Wake Mkuu Antonio Conte
Club ya Chelsea ya England leo Ijumaa ya July 13 2018 imetangaza rasmi kufanya maamuzi ya kuachana na aliyekuwa kocha wao mkuu Antonio Conte baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa timu yao kwa siku za usoni.

Antonio Conte anafutwa kazi Chelsea baada ya kudumu na club hiyo kwa miaka miwili na amefanikiwa kuiongoza Chelsea kutwaa taji la Ligi Kuu England msimu wa na Kombe la FA lakini Conte ameweka rekodi ya kuiongoza Chelsea kupata ushindi katika game 30 kati ya 38 za Ligi Kuu.

Taarifa zilizoripotiwa kuwa maamuzi hayo ya Chelsea kumfuta kazi Antonio Conte yatawagharimu Chelsea kumlipa Antonio Conte fidia ya pound milioni 9 ili kufidia sehemu ya mkataba wake uliyobaki.

Antonio Conte alijiunga na Chelsea mwaka 2016 baada ya kuacha kazi ya kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Italia, hivyo nafasi ya Conte inatajwa kuwa itarithiwa na Maurizio Sarri  ambaye alikuwa kocha wa Napoli.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad