Dangote Awapa Fulsa Wanawake "Natafuta Mwanamke wa Kuishi Naye Akijitokeza Ntamuoa"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dangote Awapa Fulsa Wanawake "Natafuta Mwanamke wa Kuishi Naye Akijitokeza Ntamuoa"
Tajiri namba moja barani Afrika, Aliko Dangote amesema kuwa ingawaje umri wake umeenda na yupo bize na masuala ya biashara lakini bado anahitaji mke wa kuishi naye.

Dangote akihojiwa na gazeti la Financial Times (FT) amesema kwa sasa ana miaka 60 na yupo bize sana hawezi kutafuta mwanamke lakini akijitokeza wa kumuoa basi atafanya hivyo.

“Mimi sio kijana tena, miaka 60 sio masihala kwani siwezi kutembea mtaani kutafuta mwanamke nakosa muda kabisa lakini akitokea wa kuwa naye sawa,“amesema Dangote.

Tajiri huyo maarufu zaidi barani Afrika amesema kuwa kwa siku anapigiwa simu zaidi ya mara 100 huku akipokea maelfu ya barua pepe.

Dangote mpaka hivi sasa ameachwa na wanawake wawili na amefanikiwa kupata watoto watatu ingawaje vyombo vya habari nchini Nigeria vinaripoti kuwa Bilionea huyo ameshawahi kuishi na wanawake watatu baada ya kuachana na wanawake wake wa ndoa lakini hajafanikiwa kuzaa nao.

Chanzo: Financial Times (FT)
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad