Hispania Yapata Mrithi wa Hierro

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hispania Yapata Mrithi wa Hierro
ALIYEKUWA kocha wa klabu ya Barcelona ya Hispania, Luis Enrique, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya Hispania baada ya nchi hiyo kung’olewa katika Kombe la Dunia wakati wa kutafuta 60 bora katika michuano inayoendelea nchini Russia.



Kwa mujibu wa mkataba, Enrique ataishika nafasi hiyo kwa miaka miwili. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 48, anachukua nafasi ya Hierro aliyepewa jukumu hilo saa 48 kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia Hispania ilipocheza na Ureno.



Kocha wa awali, Julen Lopetegui,  alifukuzwa muda mfupi kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia baada ya kukubali kuwa kocha wa klabu ya Real Madrid, na kumwacha aliyekuwa mkurugenzi wa michezo,  Fernando Hierro, kukaimu nafasi hiyo.



Enrique aliondoka Barcelona mwishoni mwa msimu wa 2016/17 baada ya kuitumikia miaka mitatu na baadaye kuzitumikia klabu za Chelsea na Arsena
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad