Kicheko Champa Mpenzi Feza Kessy

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kicheko champa mpenzi Feza Kessy
Msanii wa Bongo Fleva Feza Kessy amefunguka kuwa wanaume wengi anaoingia nao kwenye mahusiano wanapenda cheko lake.

Feza amefafanua kuwa hata yeye alikuwa hajui kama anacheka vizuri kiasi cha kufanya wanaume kupagawa juu ya cheko hilo

Akizungumza na www.eatv.tv Feza amesema, amegundua hilo baada ya kukutana na maoni mengi kuhusu cheko lake, pia wanaume wengi anaokutana nao kitu cha kwanza kukisifia juu yake ni kicheko.

“Mwanzo nilikuwa najua watu wananitania tu, ila bwana kila mwanaume nayempata unakuta anapenda cheko langu lakini mwanzo ilikuwa ngumu kuamini kuwa wanaume wengi wanapenda kicheko changu, lakini kwa sasa hivi naamini hata mpenzi wangu ndio kitu kikubwa anapenda”,amesema Feza kessy.

Lakini Feza ameingiwa na hofu kwa kusema kuwa muda mwingine hafurahii kuona wanaume wengi wanampendea hicho kitu na anaogopa siku akiwa hana hicho kicheko itakuwa rahisi kuachika.



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad