Mtoto Alicia Keys wa Kenya Aachia Wimbo Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtoto Alicea Keys wa Kenya Aachia Wimbo Wake
Mwezi uliopita kwenye tasnia ya burudani nchini Kenya kuliibuka mtoto ambaye video zake zilisambaa mitandaoni zikimuonesha akiimba wimbo wa ‘Girl On Fire’ wa Alicia Keys kwa kiwango cha hali ya juu. Sasa mtoto huyo tayari ameachia video yake ya wimbo wake wa kwanza.

Mtoto huyo ajulikanaye kwa jina la Gracious Amani ameachia wimbo huo unaoitwa ‘Sitasahau’ ambapo ameelezea safari yake fupi ya muziki huku akiwashukuru watu wote walimsaidia hadi kutoka hapa alipo kwa sasa.


Video ya wimbo huo imeongozwa na Director Young Wallace na mdundo wa ngoma hii umetengenezwa na Teddy B. Tazama video mpya

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad