Ukaribu wa Rais wa Croatia na Ufaransa Wazua Gumzo duniani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukaribu wa Rais wa Croatia na Ufaransa wazua gumzo duniani
Michuano ya kombe la dunia imemalizika wikiendi iliyopita nchini Urusi baada ya kushuhudia timu ya taifa ya Ufaransa ikiibuka na ushindi wa jumla ya mabao 4 – 2 dhidi ya Croatia.



Licha ya ukubwa wa mechi hiyo lakini kinachoendelea kuzungumzwa ni namna rais wa Croatia, Kolinda Grabar Kitarovic alivyokuwa karibu mno na rais Ufaransa, Emmanuel Macron huku wakionekana kama wapenzi hali iliyokuwa kivutio kikubwa machoni mwa wafuatiliaji wa fainali hiyo.



Rais huyo wa Croatia, Kolinda Grabar Kitarovic ameitawala myoyo ya watu wengi kufuatia tukio hilo kwenye mchezo wa fainali jijini Moscow hali inayopelekea watu wengi kwenyemitandao kutamani kuona wawili hao wakiwa kwenye mahusiano.




----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad