Basata Yazidi Kuwabana Wasanii Yasema Watakaosafili Kwenda Nje Bila Kibali Chao Kutozwa Faini Mil.1

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limeeleza wazi juu ya sheria zao na kanuni mpya ambazo zinawataka wasanii wote watakaokwenda nje ya nchi kwa lengo la kufanya show kuwa na kibali maalumu kutoka kwao kitakachomruhusu kufanya hivyo.

PIX4a
Kaimu Katibu Mtendaji BASATA, Onesmo Kayanda kulia kwenye picha
Akizungumza na Bongo5, Kaimu Katibu Mtendaji BASATA, Onesmo Kayanda amesema kuwa sheria hiyo ipo wazi isipokuwa wasanii wakubwa huwa hawahudhurii kwenye semina na midahalo pia hawasomi sheria za BASATA ndio maana wanataharuki linapotokea suala la utekelezaji.

Akizungumzia suala la faini juu ya kibali hicho, Kayanda amesema kuwa endapo msanii atafanya show nje ya nchi bila kibali kwa mara ya kwanza ataonywa na kutozwa milioni 1 na akirudia tena faini itaongezeka na ikiendelea tabia hiyo basi atafutiwa usajili wake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad