CCM Yalalamika Siri za Serikali Kuvuja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

CCM Yalalamika Siri za Serikali Kuvuja
Mwenyekiti  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Dk. Antony Dialo amesema miongoni mwa matatizo ambayo watumishi wengi wanaostaafu au kuondolewa katika nafasi wanazoteuliwa na Rais ni kukiuka kiapo chao cha kutunza siri.

Dk. Dialo alisema wapo watumishi wengi hususan wa kuteuliwa wakiwamo  mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, makatibu tawala na wengine  wamekuwa wakitoa siri  walizopata wakati wakitumikia nafasi zao kitendo ambacho kinakiuka kiapo chake.

Kauli hiyo aliitoa  hivi karibuni alipozungumza na wakuu wa wilaya za mkoa wa Mwanza walioteuliwa  Julai 28, mwaka huu na Rais Dk. John Magufuli  huku akiwataka   waliostaafu kwa umri   na walioondolewa katika nafasi zao kuendelea kutunza siri za Serikali.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad