DC Jerry Muro atoa mwezi mmoja kwa wanaume aliotelekeza watoto Arumeru!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jery Murro ametoa mwezi mmoja kwa wanaume waliotelekeza watoto wilayani humo kuhakikisha wanaanza kutafuta watoto wao na kuanza kuwahudumia.


Amesema kuwa baada ya muda alioutoa kuisha ataanza kuwakaribisha Wanawake wote wanaoishi wilayani humo waliotelekezewa watoto kupeleka Malalamiko yap ofisini kwake.

Aidha, ametoa agizo hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya hali ya utelekezji wa watoto wilayani humo.

Vile vile ameongeza kuwa lengo la zoezi hilo ni kupunguza idadi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu ,hatarishi na wanaojihusisha na uhalifu na wale wanaozurura na kuzagaa mitaani kwa kukosa malezi ya wazazi wawili.



“Nichukue fursa hii kuwataarifu akinamama na akinadada waliozalishwa na kutelekezewa watoto na kuachwa wabebe Mzigo wa kuwahudumia watoto wao, Natoa mwezi mmoja kwa kila mwanaume anayejua ana mtoto Arumeru, aanze kuhudumia, amesema DC Murro

Hata hivyo, Muro amesema licha ya serikali kutangaza elimu bure kwa wanafunzi, wapo baadhi ya wanafunzi ambao wanakwenda shule bila sare ya shule, madaftari au viatu huku moja ya sababu inayochangia hali hiyo ikiwa ni kutelekezwa na baba zako
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad