Mkapa, Kikwete, Mwinyi Wawasili Chato Kwenye Mazishi ya Dada wa Rais Magufuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkapa' Kikwete, Mwinyi Wawasili Chato Kwenye Mazishi ya Dada wa Rais Magufuli
Marais Wastaafu wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete wamewasili jijini Mwanza leo Agosti 21, 2018 wakielekea Chato mkaoni Geita kuhudhuria mazishi ya Dada wa Rais Dkt. John Magufuli, Monica Magufuli anayetarajiwa kuzikwa baadaye leo.

Bi. Monica alifariki dunia Jumamosi iliyopita, Hospitali ya Bugando alikokuwa amelazwa akipatiwa matuibabu.


Wastaafu hao wamewasili na Ndege ya Air Tanzania katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza uliyopo Ilemela na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela kabla ya kuelekea Chato mkoani Geita kujumuika na familia ya Magufli katika mazishi ya ndugu yao.

Mzee Mkapa ameambatana na mkewe Mama Anna Mkapa na mzee Kikwete naye aliambatana na mkewe, Mama Salma Kikwete.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad