Mpenzi wa Chid Benz: Nina Sifa Zote za Kuolewa na Chid Benz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mpenzi wa Chid Benz: Nina Sifa Zote za Kuolewa na Chid Benz
Wengi wa mashabiki wake walikuwa wakiamini Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva, Rashid Makwilo, ‘Chid Benz’ hana mke wala familia na anaishi na mama yake mzazi, lakini sivyo pamoja na madhira yote anayokumbana nayo katika maisha yake ya kisanii, msanii huyo yuko na familia yake na mkewe Miriam ambaye amekuwa naye bega kwa bega kuhakikisha Chid Benz yuko salama.

Wakiwa mapumzikoni mjini Morogoro, Chid Benz na mkewe Miriam walionekana wakiwa na furaha muda wote, na msanii huyo alionekana akiwa amependeza na kunawiri tofauti na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii siku chache zilizopita akionekana akiwa amepungua mwili.

‘’Ni mwanaume mwenye mapenzi ya dhati sana, ananijali, huwa najisikia vibaya sana asipokuwepo karibu na mimi, huwa namsaidia sana ila inategemea kwa muda huo kuna kitu gani, ni mwanaume wa kipekee sana kuliko watu wanavyomfikiria mimi ndio mkali kwake, nawaomba mashabiki wake waendelee kumsapoti kwenye muziki wake’’ Alisema Miriam mwenye sauti nzuri ya kumtoa nyoka pangoni.

‘’Amependeza nahakikisha anakula vizuri na kulala muda muda mzuri, analala kwanza yeye kabla mimi sijalala’’ Aliongeza Miriam.



‘’Tumekuwa wachumba takriban miaka 10 na wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike,tuna mpango wa kufunga ndoa mwakani kama Mungu akipenda, na nina sifa zote za kuolewa naye’’ Alisema Miriam

Chid Benz, Msanii Mkongwe aliyewahi kuwika hapa nchini, lakini miaka ya hivi karibuni alikumbwa na skendo ya utumiaji wa madawa ya kulevya, mashabiki wake wengi hawakujua kama msanii huyo ana familia yake yaani mke na mtoto kutokana na vile alivyokuwa akiishi maisha yake.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad