Wanafunzi Waandamana Baada ya Mwenzao Kupigwa na Mwalimu Hadi Kufa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanafunzi Waandamana Baada ya Mwenzao Kupigwa na Mwalimu Hadi Kufa
WANAFUNZI wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Kalangalala mkoani Geita wameandamana kwenda kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Geita kupinga kitendo kile kinachodaiwa kwamba mwanafunzi mwenzao kupigwa na mwalimu hadi kupoteza fahamu.


Mwanafunzi huyo, Jonathan Mkono anadaiwa alipigwa na Mwalimu waliyemtaja kwa jina moja la Lawi jana Agosti 30, 2018 kwa kosa la kuingia bwenini wakati vipindi vikiendelea darasani.

Mmoja wa wanafunzi, Aron Mathias amesema hali ya mwenzao aliyelazwa hospitali ya mkoa sio nzuri na kwamba hawezi kuzungumza, kukaa wala kusimama.



“Huyu (Jonathan) ni kiongozi, alikuwa anasimamia usafi alivyomaliza alirudi bwenini kuchukua vifaa lakini mwalimu Lawi alimwadhibu na sio kwa fimbo alimpiga makofi na marungu. Tulimpeleka hospitali akiwa mahututi tulipofika daktari alikataa kumpokea akishinikiza kupewa taarifa ya Polisi, tulivyoipata ndio wakaanza kumtibu majereha yake,” amesema Mwanafunzi huyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad