Batuli Afungukia Ukimya Wake Bongo Movie

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Batuli Afungukia Ukimya Wake Bongo Movie
Msanii wa filamu za kibongo, Yobnesh Yusuf maarufu kwa Jina la usanii kama Batuli amefunguka na kuweka wazi sababu za kukaa kimya kwa muda mrefu.

Batulia amefunguka na kudai kuwa kukaa kwake kimya na kutosikika mara kwa mara hasa Kwenye skendo za mitandao ya kijamii kutawapa hamu mashabiki zake za kuona filamu zake na kumtunzia heshima.

Kwenye mahojiano yake na gazeti la  Ijumaa Wikienda, Batuli alisema alikaa kimya kwa muda mrefu kwa sababu kuna vitu alikuwa anaviweka sawa kisha arudi tena kwenye ulingo wa filamu na anashukuru Mungu amevikamilisha.

Kutoonekana mara kwa mara kumeniletea heshima hata kwa mashabiki wangu. Kuonekana kila wakati inasababisha watu wanakuchoka, ni bora ukae kimya, ukiwa na kitu ndiyo unaibuka tena na ndivyo wanavyofanya hata wenzetu wa nje”.

Wasanii wengi wa Bongo movie wamekuwa wako takes kwa kutawala vichwa vya habari kwa skendo zao kuliko kazi zao.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad