Breaking News: JPM Amwengua Prof. Mark Mwandosya Uenyekiti Bodi ya chuo cha Mwalimu Nyerere; Nafasi yake Apewa Stephen Wasira

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais John Magufuli amemteua Ndg. Stephen Wassira kuwa mweyekiti wa Bodi chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Prof. Mark Mwandosya.

Siku za hivi karibuni, Prof. Mwandosya amekuwa mkosoaji wa Serikali ya Rais Magufuli kupitia mitandao ya kijamii hasa Twitter na ukosoaji wa hivi karibuni ni ule aliomwambia Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda ajiuzulu kwa kashfa ya kodi ya Makontena ili ajijengee heshima kwake na serikali ya Rais Magufuli.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad