Dah!!! Hamisa Mobetto hadi USA kwa ex wa Rick Ross

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dah!!! Hamisa Mobetto hadi USA kwa ex wa Rick Ross
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amechukua tena headlines baada ya kupostiwa na mpenzi wa zamani wa rappa Rick Ross kutokea Marekani Lira Mercer na kuandika maneno yanayoashiria kuwa wanauhusiano wa karibu na watakutana hivi karibuni Marekani.

Hamisa Mobetto ameonekana kupata dili mbalimbali hivi karibuni ikiwemo na kuwa balozi na nyingine nyingi , kupostiwa na mwanadada huyo wengi wamehoji na kujiuliza kuhusu ukaribu wao? na je ataenda Marekani kupata dili nyingine au kukutana kirafiki?

Kupitia ukurasa wa instagram wa Lira ameandika “Mwanangu Hamisa  Mobetto anakuja kutembea Marekani hivi karibuni #AfrikaMashariki” Baada ya muda Hamisa Mobetto alimjibu na kusema “Nina shahuku mpenzi “



Hamisa Mobetto na yeye alimpost mwanadada huyo kupitia ukurasa wake wa instagram na kuandika “Siwezi kusubiri kukuona “



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad