Dodoma: DC Katambi aamuru kijana aliyeropoka ''Umetumwa'' akamatwe na jeshi la Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi ameamuru kukamatwa kwa kijana aliyetamka neno “ametumwa” wakati akihutubia kwenye mkutano na wananchi wa wilaya ya Dodoma mjini.

''Wewe ndiye umetumwa kunivurugia mkutano wangu, na kwasababu ni Serikali nataka NIKUONESHE nguvu yake. Askari mchukue huyo'' - DC Katambi
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad