Haji Manara Azikejeri Jezi za Yanga "Hii Staili Inaitwa Twende Kilioni Hapo Kati Kama Mamiss"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Haji Manara Azikejeri Jezi za Yanga "Hii Staili Inaitwa Twende Kilioni Hapo Kati Kama Mamiss"
Msemaji wa klabu ya simba Haji Manara ameibuka na kuwapiga dongo watani wake wa jadi timu Yanga kutokana na jezi.

Kupitia ukrasa wake wa instagram ameandika maneno mengi kwaa kuzifabnanisha jezi zao na staili wanazovaa mamiss.

Ndugu zako wakifanya jambo jema ni vzuri kuwapongeza...hii style ya jezi imenikosha sana...inaitwa Twende kilioni...nimeipenda sana tena thana..halaf huo mnaniliu hapo kati kama ule wa 'massmiss'...ndio mtindo bpra wa jezi kupita yote toka dunia imeanzishwa
'UTHIKU ' mwema kwa hisani ya dada yangu @basillamwanukuzi

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad