Kimenuka Fastjet Tanzania, Mfadhili Apanga Kusitisha Ufadhili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ni kutokana na hali mbaya ya biashara iliyosababisha ukata katika kampuni lakini Fastjet Tanzania imewatoa wasiwasi wateja na kueleza kuwa itaendelea kutoa huduma kama kawaida

Fastjet Plc ilitoa taarifa ya mwenendo wake wa fedha kuwa inakabiliwa na upungufu mkubwa wa fedha kiasi cha kulazimika kuzitafuta kwa kufanya harambee

Mkurugenzi Mkuu wa Fastjet Tanzania, Derrick Luembe alisema "Bado tuna vyanzo vingine vya mapato kukidhi mahitaji yetu na tunaendelea kuingia mikataba mipya."

Kwa sasa, ndege za shirika hilo zinaruka na kutua Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Kilimanjaro, Lusaka na Zimbabwe.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad