Muna Love Amuomba Msaada Rais Magufuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muna Amuangukia Rais Magufuli
MUIGIZAJI wa Bongo Movie na mfanyabishara, Munalove amesema endapo atapata fursa ya kukutana na Rais Dkt. John Magufuli atamshauri aruhusu watoto wadogo ambao wanaumwa waruhusiwe kukatiwa bima ya afya ili kuokoa uhai wao.

Muna amesema watoto wengi wanapoteza maisha yao kwa kukosa huduma ya afya kwani si wazazi wote wana vipato vya kuwahudumia watoto wao hasa kwa wale wenye magonjwa makubwa, lakini bima hiyo itakuwa mkombozi kwao
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad