Nipo Vizuri Nipo Tayari Kupambana kwasababu ya Timu Yangu- Ajibu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nipo Vizuri Nipo Tayari Kupambana kwasababu ya Timu Yangu- Ajibu
BAADA ya kocha wake Mwinyi Zahera kumsifia kuwa ana dhahabu miguuni mwake ingawa hajui kuzitumia, mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu amefunguka kuwa kwa sasa yuko vizuri na yupo tayari kupambana.



Ajibu amefanya vizuri kwenye michezo ya hivi karibuni hadi kufikia hatua ya kusifiwa na kocha wake huyo raia wa DR Congo.



Msimu uliopita, Ajibu alifanikiwa kufunga mabao saba huku mechi za mwishoni mwa ligi hiyo nyingi akikosa kutokana na sababu mbalimbali.



Akizungumza na Championi Ijumaa, mshambuliaji huyo alisema kuwa anaendelea kujifua kuhakikisha anakuwa fiti kuweza kuipambania Yanga.



“Nashukuru Mungu binafsi naendelea vizuri na sasa nafanya mazoezi kwa ajili ya kupambana zaidi kwa sababu ndiyo kwanza msimu umeanza, hivyo ni vyema kuanza vizuri tangu mwanzo,” alisema Ajibu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad