Bobi Wine Yamkuta Mengine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bobi Wine Yamkuta Mengine
HUENDA huu ukawa mwaka mbaya kwa mwanamuziki ambaye pia ni Mbunge wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, Kyagulanyi Robert ‘Bobi Wine’ baada ya kukataliwa kufanya tamasha katika Uwanja wa Mpira wa Mandela nchini humo. Bobi amebaniwa kufanya shoo na Shirikisho la Mpira wa Miguu la Uganda (FUFA). Kupitia mitandao ya kijamii, Bobi amelaumu Serikali yake kwa kumuonea.“Ni kwa vipi wamekuwa wakinizuia? Ni kwa sababu Bobi Wine anahusika! Najua kuwa wanatumia kila mbinu kuzuia biashara zangu na vyanzo vya kupata chochote kitu,” aliandika Bobi Wine na kuongeza:

“Unajua kwa nini? Leo nimepokea barua wamezuia shoo yangu. Sababu? Wanadai eti wamepata oda kutoka FUFA. Hebu angalieni uwanja huohuo unafanya matamasha mengi na hawajawahi kuzuia,” alilalama Bobi.

Miezi michache iliyopita, Bobi na wabunge wengine kadhaa walikamatwa na Polisi wa nchini humo baada ya waandamanaji kupiga mawe gari la Rais Yoweri Museveni wakati wa kampeni za uchaguzi. Katika kushikiliwa huko, ilidaiwa Bobi alipitia katika mateso makali.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad