Mwanajeshi Mstaafu Ashinda Urais Brazil

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanajeshi mstaafu ashinda Urais Brazil
Afisa za Mstaafu wa Jeshi, Jair Bolsonaro ameshinda duru ya pili ya uchaguzi wa urais nchini humo baada ya kupata asilimia 55.1 ya kura zote.

Mpinzani wake Fernando Haddad ameambulia asilimia 44.9 ya kura zote zilizopigwa kwenye uchaguzi huo ulioteka hisia kubwa za Wananchi.

Rais Mteule Jair Bolsonaro amewashukuru wapiga kura wake kwa kumuamini lakini pia amemshukuru Mungu kwa kumuepusha na jaribio la kuuawa wakati wa kampeni zake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad