Penzi la Mrembo Cassie na P Diddy Laota Mbawa...Diddy Achukua Kifaa Kingine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Moja kati ya couples za wasanii wa muziki wa Hip Hop kutokea Marekani Diddy na Cassie ambazo zilikuwa zikipendwa na watu wengi imeripotiwa kuwa wawili hao kwa sasa wameachana na hawapo tena katika uhusiano wa kimapenzi.

Kwa mujibu wa mtandao wa Bazaar umeripoti kuwa Diddy ameanzisha mahusiano mapya na mwanadada Jocelyn Chew ikiwa wawili hao wanatajwa kuonekana mjini Miami mwezi uliopita na pia walihudhuria onesho la Drake siku kadhaa zilizopita.


Mwanadada Jocelyn Chew anayedaiwa kuwa mpenzi mpya wa Diddy

Inaelezwa kuwa Diddy na Cassie walikutana rasmi mwaka 2000 hii ni baada ya Cassie kujiunga na record label ya Bad Boys na ilipofika 2012 wawili hao waliamua kuweka wazi mahusiano yao lakini August 2016 inadaiwa kuwa waliachana na baadae kurudiana
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad