Rapper wa Uganda amchana Kanye West “tunahitaji maji sio viatu”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rapper wa Uganda amchana Kanye West “tunahitaji maji sio viatu”
Rapper Gnl Zamba kutokea Uganda amtolea povu rapper Kanye West ambaye kwa sasa yupo nchini Uganda pamoja na familia yake kwaajili ya kukamilisha Album yake ya Yandhi na kumuita Kanye West mbinafsi.

Rapper huyo ameeleza kuwa watu wa Uganda wanahitaji maji na sio viatu aina ya Yeezy alivyovitoa Kanye West kwa Rais Museveni siku ya October 15,2018  alipotembelea Ikulu, Kupitia ukurasa wa twitter wa Gnl Zamba ameyaandika hayo.



“Kanye sio rapper wala msanii wa muziki wa Hip Hop, sio mwerevu ni mbinafsi, anijifikiria yeye na kujitegemea mwenyewe, Uganda sasa hivi inatumika , hayo ni mawazo yangu juu ya Mayuda weusi, Watu wanahitaji maji na sio Yeezys” >>> Rapper Gnl Zamba

October 16,2018 Kanye West alitembelea moja ya kituo cha watoto yatima nchini humo na kugawa viatu aina ya ‘Yeezy’ kwa watoto hao na kuelezwa kuwa thamani ya idadi ya viatu alivyovitoa Kanye vinafikia thamani ya zaidi Tsh. Millioni 500.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad