Steve Nyerere "Nashangaa Mpaka Sasa Amber Rutty Yupo Nje "

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nashangaa mpaka sasa hivi upo mtaani, Sikuchukii ila Umenikwaza Ivi nakaa nawaza, Unawazazi , Una NDUGU ,Una marafiki, na kama wameona ile video wanajiskiaje, Wewe mwenyewe kwenye jamii unaona umeitendea jamii jambo jema, Huu upuuuzi unajua unaishi milele na milele, Ni kweli DADA zetu wamefikia hatua hii, Huoni kama unadhalilisha wanawake wenzio , Wazo langu ulitakiwa uwe ndani, yani kwa kifupi weka ndani , Uwe mfano". - Steve Nyerere.

Toa maoni yako
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad