Waziri Mwakyembe Ataja Gharama za Hoteli Cape Verde

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe, amefunguka na kuelezea juu ya gharama za hoteli huko Cape Verde ambapo timu ya taifa 'Taifa Stars' itasafiri kucheza na wenyeji kuwania fainali za AFCON 2019.

Hatua hiyo imekuja mara baada ya wadau ambao wameonesha nia ya kusafiri na timu kutaka kujua mapema gharama zitakuwaje ili waweze kujipanga.

Mwakyembe amesema tayari wameshatuma mtu ambaye ataenda kufuatilia hoteli hizo ambazo zitakuwa na gharama nafuu zitakazoweza kumudu mashabiki ambao watasafiri.

Waziri huyo anaamini watu watajitokeza kwa wingi kuungana na Stars ili kuipa hamasa kwenye mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu na watanzania wengi.

Aidha, Shirikisho la Soka nchini (TFF) limezidi kuwataka wadau kujitokeza kwa wingi kununua tiketi za ndege ili wakaipe hamasa timu ya taifa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad