Wema Azidi Kuwaumiza Roho Daimond, Idriss apost video aki-kiss na Mchumba Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu anazidi kuchukua headlines kwenye mitandao ya kijamii na hii ni baada ya kumuonyesha mume wake mtarajiwa kupitia ukurasa wake wa instagram siku ya Jumatano October 17,2018.  Leo October 18,2018 Wema Sepetu amewakumbusha mashabiki msemo unaosema mapenzi ni upofu na kwa upande wake haoni,ujumbe huu ameuandika baada ya kupost video clip akiwa na mwanaume huyo ambaye hadi kwa sasa hajatambulika jina lake halisi.  Wema Sepetu amezidi kusisitiza kupitia ukurasa wake wa instagram kuwa kwa sasa alipo anafuraha na amechoshwa na maneno ya watu ya kila siku na kusema kuwa mangapi yamesemwa juu yake.  “Wanasema mapenzi ni upofu na ninafikiri siwezi kuona, nakupenda mpenzi na hichi ndicho cha muhimu sisi dhidi ya dunia na iwe tu, Nimeshachoka mangapi yamesemwa bwana? bora nibaki nae tu, ananifanya niwe na furaha hata iweje” >>>Wema Sepetu
Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu anazidi kuchukua headlines kwenye mitandao ya kijamii na hii ni baada ya kumuonyesha mume wake mtarajiwa kupitia ukurasa wake wa instagram siku ya Jumatano October 17,2018.

Leo October 18,2018 Wema Sepetu amewakumbusha mashabiki msemo unaosema mapenzi ni upofu na kwa upande wake haoni,ujumbe huu ameuandika baada ya kupost video clip akiwa na mwanaume huyo ambaye hadi kwa sasa hajatambulika jina lake halisi.

Wema Sepetu amezidi kusisitiza kupitia ukurasa wake wa instagram kuwa kwa sasa alipo anafuraha na amechoshwa na maneno ya watu ya kila siku na kusema kuwa mangapi yamesemwa juu yake.

“Wanasema mapenzi ni upofu na ninafikiri siwezi kuona, nakupenda mpenzi na hichi ndicho cha muhimu sisi dhidi ya dunia na iwe tu, Nimeshachoka mangapi yamesemwa bwana? bora nibaki nae tu, ananifanya niwe na furaha hata iweje” >>>Wema Sepetu
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad