Ay Amshauri Dudu Baya Kusajili Neno Konki ili Kujipatia Faida

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ay Amshauri Dudu Baya Kusajili Neno Konki ili Kujipatia Faida
Msanii wa muziki wa siku nyingi  Ambwen yesaya , Amefunguk na kutoa ushaur kwa msanii mwenzake Dudubaya kufanya mchakato wa kusajili neno KONKI ambalo kwa sasa hivi limekuwa habari ya mjini na kutumiwa na watu wengi.

Ay anasema kuwa kampuni nyingi wamekuwa wakidata maneno yanayotumiwa na watu mitaani kwa ajili ya kufanyia biashara bila kuwa na ruhusa ya mzalishaji wa nene hilo lakini kikubwa ni kuwa kuna kuwa hakuna hati miliki ya neno hilo na ndio maana inakuwa sio faida kwa wasanii baadhi.


Ay anasema kuwa Dudu baya afanye mchakato wa kusajili neneo hilo kabla halijadakwa na makampuni makubwa kibiashara.

Dudu baya akitaka kutisha bsi akasajili slogan yake maana si mnayajua makampuni makubwa  ya mawasiliano kwa kudandia misemo…PATA OFFER KONKI mfikishien ujumbe wangu -Aliandika AY
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad