Rayvanny kumsaka upya Jason Derulo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rayvanny ni muimbaji wa pili kusainiwa na lebo ya WCB baada ya Harmonize, kisha kufuata wasanii wengine kama Rich Mavoko, Queen Darleen, Lava na Mbosso. 

Kwa sasa Rayvanny yupo nchini Kenya kwa ajili ya project ya Coke Studio Africa ikiwa ni mara yake ya pili kushiriki. Rayvanny ameongozana na producer kutoka Wasafi Records. 

Kwanini Jason Derulo 

Msimu uliopita ambao ulikuwa wa kwanza kwa Rayvanny kushiriki Coke Studio ulikuwa wenye mafanikio kwani ndipo alipokutana na  Jason Derulo kutokea nchini Marekani. 

Baada ya hapo  Jason Derulo alikuj kumshirikisha Rayvanny kwenye remix ya wimbo wake uitwao Tip Toe akiwa na French Montana. 

Hivyo kuna uwezekano mkubwa Rayvanny akakutana tena msanii mwingine mkubwa na kufanya naye kazi kama ilivyokuwa kwa Jason Derulo. Ukiachana na Diamond Platnumz, Rayvanny ndiye msanii pekee wa WCB kushiriki Coke Studio Afrika.  
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad