Video ya Mapenzi Kinyume na Maumbile Yaendelea Kumtesa Amber Ruty na Mpenzi Wake...Wakosa Dhamana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kwa mara ya Tatu Mfululizo Msanii Amber Rutty na Mpenzi wake Saidi Bakari wamekosa Dhamana ya Kesi yao ya kufanya Mapenzi kinyume na Maumbile na kusambaza Video/ Picha za kitendo hicho.

Mdhamini Mmoja wa Upande wa Washtakiwa(Amber Rutty na Saidi Bakari) ameshindwa kufika Mahakamani Leo.

Kwa Mujibu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dhamana ya Amber Rutty na Mpenzi wake iko wazi kama Watapatikana Wadhamini Wawili na wanatakiwa kusaini Bondi ya Shilingi Milioni 15 na kama watapatikana kabla ya Saa Tisa Alasiri ya Leo watadhaminiwa kinyume na hapo Kesi itasikilizwa tena Desemba 10, 2018.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad