Wasafi Festival Kumenoga Wizkid Kutumbuiza Tamasha Hilo Dar

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wasafi Festival Kumenoga Wizkid Kutumbuiza Tamasha Hilo Dar
Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu,  Wizkid anatarajiwa kutumbuiza katika tamasha la Wasafi Festival litakayofanyika Dar Es Salaam baada ya Diamond kuthibitisha hilo.



Rais huyo wa WCB amethibitisha hilo kupitia ukurasa wa Instagram baada ya ku-comment kwenye post ya Rayvanny ambayo alipost video fupi ikiwaoyesha Diamond na Wizkid muda mfupi baada ya kumalizika kwa tamasha kubwa la muziki la One African Music Festival lililofanyika Dubai wikiendi iliyopita.

Kupitia video hiyo hapo juu Wizkid  alisikika akisema muda sio mrefu wimbo wao na Diamond utatoka na ndipo Diamond alipothibitisha kuwa mwimbaji huyo atatua kwenye tamasha hilo litakalofanyika Dar Es Salaam baada ya kuzunguka mikoa mingine.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad