Ujumbe wa Mahaba Mazito wa Dkt. Mengi kwenda kwa Jacqueline Walizua Mjadala mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ujumbe wa Mahaba Mazito wa Dkt. Mengi kwenda kwa Jacqueline Walizua Mjadala mtandaoni
Jumamosi hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya mke wa bilionea Dkt. Mengi, Jacqueline Mengi ambapo ndugu jamaa na marafiki waliitumia siku hiyo kim-wish mrembo huyo kwa mkumtakia maisha marefu yenye mafanikio katika maisha yake.


Mama watoto huyo wa Mengi ambaye alikuwa Miss Tanzania mwaka 2000, alipokea ujumbe mzito wa mahaba kutoka kwa mume wake huyo ambaye ni bilionea wa Afrika.

“My love, my darling wife, my best friend, the holder of the key to my life, it is always “ better late than never” Happy Birthday my Baby. Thank you for giving me reason to live. I love you crazy @JNtuyabaliwe,” alitweet Mengi.

Naye Jacqueline Mengi aliamua kujibu ujumbe hao kwa kutweet

“This is so sweet hubby ❤️❤️❤️❤️I love you so much @regmengi I couldn’t have asked for a better man to be my everything.,”

Baada ya ujumbe huo mzito mashabiki katika mitandao ya kijamii walianza kujadili ujumbe wa bilineo huyo kwenda kwa mke wake huyo huku wengine wakienda mbali zaidi kwa kudai Mengi hawezi andika ujumbe kama huyo. Haya ni maoni na mijadala ya mashabiki hao.

Ben mfunga
‏Replying to @regmengi @MasaluPaschal @JNtuyabaliwe
aaaaaah mzee mengi you know better than that…..what if she had to lost that key….🤣🤣what you should say is she is the key to your fortune……yes sirrrrrrr🤣🤣🤣

Replying to @regmengi @JNtuyabaliwe
Hon. Mr Regnard Mengi may i wish you and your queen Mama Jackline Mengi Peace and love in your lives , Happy birthday JNtuyabaliwe.

Replying to @regmengi @JNtuyabaliwe
Hongera sana Mzee Mengi kwa hekima na busara, umeonyesha mfano bora kwetu vijana. Maneno na ujumbe ulioutoa kwa Mama yetu Ntuyabaliwe umetufundisha na sisi pia tufanye hivyo kwa wake zetu. Mungu akupe maisha marefu yenye afya na mafanikio daima.

Replying to @regmengi @JNtuyabaliwe
Mnaojifanyaga wagumu ngumu kusema endeleeni dingi nauzee wake kasanda sembuse Mimi na ww. Ukimpenda mtu unamwambia tuu kwani bei gani. Sema wakijua napo n mitihani atakuoshesha vyombo akupigishe dekii. You know what ppo money is the answer aaaaaahaaaaaaaahaaa

Replying to @regmengi @JNtuyabaliwe
Mbona huu mwandiko km wa @JNtuyabaliwe kabisa😁 ila mzee ulifeli namna ulivyokuw unamu address mke wako aliyefarik badala ya kusema mke ukasema mwanzilishi mwenza wa IPP🙄

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad