Bondia McGregor Ashindwa Kuzuia Hisia zake kwa Kocha wa Manchester United Ole Gunnar, Ammwagia sifa Kede Kede

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mchezaji wa michezo ya boxing kutoka nchini Ireland Conor Anthony McGregor alimaarufu Conor McGregor, amejitokeza na kumsifia kocha wa sasa wa Manchester United Mnorway Ole Gunnar Solskjaer baada ya ushindi wa ugenini dhidi ya Arsenal.


Mkali huyo wa mchezo wa MMA amefunguka kupitia ukurasa wake wa Twitter na kusema kuwa:-
“Ole Gunnar Solskjaer ni mtu maalum! Super Sub ya Manchester United akiwa mchezaji na baadaye kocha”-baadhi ya maneno yanayotoka kwenye tweet ya McGregor. “
Ikumbukwa kuwa Manchester United tangu akabidhiwa Ole Gunnar tayari amecheza michezo 8 na kufanikiwa kushinda yote 8 huku akifunga zaidi ya magoli 20.


Lakini pia wakati Mourinho kocha wa zamani anafukuzwa timu hiyo ilikuwa nyuma kwa alama 8 na timu iliyoko nafasiya 5 na sasa zimefungana alama sawa timu iliyoko nafasi ya 5 na 6.

By Ally Juma.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad