Mbosso Achukizwa na Wao KUJIRUNDIKA Kwa Diamond Aamua Kufanya Uamuzi Huu Mgumu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii wa Muziki , Mbosso amesema kuwa ana mpango wa kufungua ofisi yake.

Mbosso ameiambia Times FM kuwa ana mpango wa kuwa na ofisi ambayo hata Mameneja wake wakifika wanafikia hapo

"Nina plan kuwa na production yangu, ofisi yangu, halkadhalika niwe na ofisi ya Meneja wangu ambao hata wakiwa wanakuja wanafikia hapo, tunadiscuss mambo yetu haina maana muda mwingi tunajikusanya kwenye ofisi ya Diamond," Alisema Mbosso.

Msanii huyo yupo chini ya lebo ya WCB ambayo ni ya msanii Diamond Platnumz.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad