Rais wa Benki ya Dunia Ajiuzulu Ghafla

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jim Yong Kim amefanya uamuzi huo wa ghafla na wa kushangaza baada ya kuhudumu katika nafasi hiyo kwa miaka 6

Ataondoka rasmi katika nafasi hiyo kuanzia Februari 1, 2019.

Bwana Kim mwenye umri wa miaka 59, alitakiwa kuiongoza taasisi hiyo hadi mwaka 2022

Mwaka 2017 alichaguliwa kuhudumu katika nafasi hiyo kwa muhula wa pili wa miaka 5
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad