Hiki Hapa Kiingilio Kuiona Simba na Al Ahaly

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hiki Hapa Kisingizio Kuiona Simba na Al Ahaly
Uongozi wa Simba umetangaza bei ya kiingilio kwenye mchezo baina ya timu yao na Al Ahly, Jumanne ijayo ambacho kitakuwa ni Sh2000.

Uamuzi huo umelenga kupata idadi kubwa ya mashabiki watakaojitokeza uwanjani siku hiyo ili kuiunga mkono timu hiyo kwenye mechi hiyo ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika.

"Tulishawahi kuwafunga Zamalek hapa. Tulishawahi kuwafunga Enyimba hapa lakini hilo halitowezekana kama hatutopata sapoti ya mashabiki.

"Pamoja na kufanya vibaya kwenye mechi mbili zilizopita, naamini kama tukipata ushindi kwenye mechi zinazofuata, bado tuna nafasi ya kusonga mbele.

"Tumekaa kama bodi ya klabu na kuamua kiingilio kwenye mchezo huo kiwe Shilingi 2000. Tunajua kuwa tunahitaji fedha lakini matokeo ni ya muhimu zaidi," alisema mwenyekiti wa bodi ya klabu hiyo, Mohammed Dewji.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad