Kocha wa Yanga SC azungumzia tetesi za kujiunga Azam FC

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kocha Mkuu wa Yanga SC, Mwinyi Zahera ameibuka na kuelezea tetesi zinazosambaa zinazomuhusisha kujiunga na Klabu ya Azam FC.

Zahera kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa Klabu ya Yanga amesema taarifa hizo hazina ukweli wowote na hajafanya mazungumzo yoyote mpaka sasa na Viongozi wa Azam FC.

Tetesi za Kocha huyo kuwaniwa na Azam FC zilianza kusambaa mara tu baada ya klabu hiyo kumfukuza kocha wake Hans van der Pluijm pamoja na kocha msaidizi, Juma Mwambusi kufuatia matokeo mabaya ya mechi za hivi karibuni.

Kwa mujibu wa Azam FC, Kutokana na mabadiliko hayo ya haraka, kwa sasa benchi la ufundi la Azam FC litasimamiwa kwa muda na makocha wa timu za vijana za timu hiyo, Meja Mstaafu Abdul Mingange (Azam U-20) na Idd Nassor Cheche (Azam U-17) hadi hapo kocha mkuu atakapotangazwa rasmi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad