Kufuatia kipigo cha goli 5-0 cha Simba vs Al Ahly, Haji Manara atoa ahadi hii kwa mashabiki wa Simba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara amewahakikishia mashabiki wa klabu hiyo kuwa, timu hiyo lazima ivune alama 9 katika michezo mitatu ya klabu bingwa barani Afrika, kwenye mechi zote ya nyumbani.


Manara ametoa kauli hiyo, ikiwa bado mashabiki wa klabu hiyo wanamachungu ya kipigo cha goli 5-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri kwenye mchezo uliopigwa jana usiku.

“Poleni sana Wanasimba wote, Najua mnavyojisikia now ila niwaambie hesabu zipo kwetu,kama ninavyowaambia always,lazima tupate points tisa za nyumbani!! Yes tukifanikiwa kushinda mechi mbili zilizobaki za home,wanaowacharura leo watawapa hongera!! “ameandika Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Jana Simba walinyukwa goli 5-0 dhidi ya waarabu wa Misri, Al Ahly kwenye mchezo wa makundi ya Klabu Bingwa barani Afrika.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad