Marekani yatoa tahadhari kutokea shambulio jingine Kenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Marekani yatoa tahadhari kutokea shambulio jingine Kenya
Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umetoa tahadhari ya kuwapo kwa uwezekano wa kutokea kwa shambulio la kigaidi katika miji ya Nairobi, Naivasha, Nanyuki na maeneo ya Pwani ya nchi hiyo huku walengwa wakuu wakiwa ni raia wa kigeni kutoka nchi za magharibi.

Taarifa iliyotolewa jana Jumatatu Februari 4, na ubalozi huo imesema inawakumbusha Wakenya kuendelea kuwa makini hasa wanapokuwa katika maeneo ya umma kama maduka makubwa ya manunuzi (malls), migahawa na sehemu za ibada.

“Kuweni makini na watu na vitu vinavyowazunguka na kutoa taarifa kwa mamlaka husika endapo mkiona vitendo msivyovielewa vinavyofanywa na raia wa kigeni lakini pia zingatieni ulinzi wenu binafsi,” imesema taarifa hiyo.

Taarifa hiyo inakuja zikiwa zimepita wiki tatu tangu kulipotokea shambulio la kigaidi lililofanywa na kundi la Al Shabab katika Hoteli ya Dusit eneo la Riverside Januari 15, mwaka huu.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad