Mwili wa Michael Jackson Kufukuliwa Kaburini Kwa Uchunguzi wa Ulawiti

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwili wa aliekua mfalme wa pop duniani,Michael Jackson huenda ukafukuliwa toka kaburini kwa uchunguzi kufuatia tuhuma za ulawiti, Mtandao wa Radar online umethibitisha kupitia filamu ya 'Leaving Neverland' imeelezwa kuwa Michael Jackson aliwahi kuwalawiti wavulana zaidi ya30 wenye umri mdogo,lakini watatu tayari wamejitokeza kuzungumza,mmoja anaitwa Wade Robson alithibitisha kwenye mitandao kuwa toka ana umri wa miaka7 hadi alipofika14.

Mwengine ni James Safechunk.Mwili wa mfalme huyo wa pop utafukuliwa ili kupima vipimo vya DNA Kwenye mabaki ya sehemu za mwili wake ili kubaini kama kuna ukweli.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad