Arsenal Yaifanyia Kitu Mbaya Man U Yaichapa Bila Huruma

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Arsenal Yaifanyia Kitu Mbaya Man U Yaichapa Bao 2-0 Bila Huruma

Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili kwa penalti dakika ya 69 baada ya Fred kumuangusha Alexandre Lacazette kwenye boksi katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates mjini London na kumaliza rekodi ya kocha ya kocha mpya, Ole Gunnar Solskjaer kutofungwa kwenye ligi hiyo tangu achukue nafasi ya Jose Mourinho aliyefukuzwa. Bao la kwanza la Arsenal limefungwa na kufuatia Granit Xhaka dakika ya 12 na kwa ushindi huo, Washika Bunduki wa London wanarejea nafasi ya nne wakifikisha pointi 60 baada ya kucheza mechi 30, sasa wakiizidi kwa pointi mbili Manchester United inayorudi nafasi ya tano ikiizidi pointi moja tu Chelsea iliyocheza
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad