Mourinho sasa Inaripotiwa Anaelekea Ufaransa baada ya Dili za Hispania na England Kudunda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mourinho sasa Inaripotiwa Anaelekea Ufaransa baada ya Dili za Hispania na England Kudund
Baada ya Zidane kutangazwa kuwa ameteuliwa kuwa kocha mpya wa Real Madrid kwa mkataba wa miaka mitatu na kumrithi Santiago Solari, taarifa hizo ziliondoa uwezekano wa Jose Mourinho kurudi kuifundisha tena Real Madrid kama ilivyokuwa inahusishwa hivi karibuni.

Mourinho ambaye amewahi kuifundisha Real Madrid 2010 amekosa nafasi hiyo na sasa uongozi wa Real Madrid umempa mkataba Zidane, inaelezwa kuwa kwa sasa Mourinho toka afukuzwe kazi Man United December 2018 kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu, amekosa timu England na Hispania alikokuwa anapewa nafasi.

Hata hivyo imeripotiwa kuwa Jose Mourinho ameanza kupewa nafasi ya kuifundisha timu ya PSG kwa siku za usoni, inaelezwa kuwa Mourinho anaweza akawa na nafasi ya kuifundisha PSG ambayo ipo chini ya kocha Tuchel ila kuna uwezekano wa kibarua chake kikaota nyasi na kuzibwa na Jose Mourinho ambaye hana timu toka December 2018 alivyofukuzwa na Man United.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad